Wednesday, December 21, 2011

MVUA ZAENDELEA KULETA MAAFA

Msamaria akimvusha kikongwe mkazi wa Jangwani baada ya makazi yake kuharibiwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia jana

No comments:

Post a Comment