Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akiagana na Kaimu Balozi wa Korea ya Kusini Nchini Tanzania Bw Kim Yong Su Mara Baada ya Kuweka Saini Kitabu cha Maombolezo Kufuatia Kifo cha Kiongozi wa Nchi hio Kim Jong ll[Picha na Ali Meja}
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akitia Saini Kitabu cha Maombolezo kwenye Ubalozi wa Korea ya Kusini Kufuatia kifo cha kiongozi wa Nchi Hiyo Kim Jong ll, Waziri aliweka saini kwa niaba ya Makamu wa Rais Dk Muhammed Gharib Bilali katika Ofisi za Ubalozini huo Mikocheni Mjini Dar es Salaam.[Picha na Ali Meja]
No comments:
Post a Comment