Wednesday, January 11, 2012

Zanzibar leo inatimiza miaka 48 tangu kufanyika mapinduzi


 

Leo tarehe 12 Januari inatimia miaka 48 tangu kufanyika mapainduzi ya Zanzibar yaliyouondosha ufalme visiwani humo.

 
Kuna tathmini tofauti zinazotolewa juu ya mapinduzi haya na kama hadi sasa yametimiza malengo yaliyowekewa. Othman Miraji amezungumza na Khamis Ameir, aliyekuwa mwanachama wa baraza la kwanza la mapinduzi  visiwani humo mnamo mwaka 1964.Na tathmini yake ni hii.
Khamis Abdullah Ameir ni Mwanachama wa baraza la kwanza la mapinduzi  ya visiwani Zanzibar  akitathimini miaka 48 ya mapinduzi  hayo kama alivyozungumza na Othman Miraji wa DW.

No comments:

Post a Comment