mwezi wa ramadhan na futari za aina aina....
.
huu ni muhogo wa nazi na samaki wa kukaanga
ndizi za mkono wa tembo za nazi na sukari
maboga ya nazi
mkate wa ufuta
vyakula hivi mara nyingi vinaliwa sana kwenye mfungo huu wa ramadhan,na kama umeona vingi vinatumia nazi kupikwa.
Bila kusahau UJI
No comments:
Post a Comment