Tuesday, July 2, 2013

RAIS OBAMA AMALIZA ZIARA YAKE NCHINI, AREJEA MAREKANI

Ndege iliyombeba Rais wa Marekani, Barack Obama ikiwa angani kuelekea Marekani.
Gari lililombeba Rais Obama likielekea Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere baada ya kumaliza ziara yake.
Wananchi wakiwa wamekusanyika eneo la Buguruni wakisubiri msafara wa Obama.
Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, akiwa kwenye gari kudumisha ulinzi wakati msafara wa Obama ukielekea uwanja wa ndege.
Askari wakiwa na mbwa wakisubiri msafara wa Obama.
Askari aliye juu ya farasi akidumisha ulinzi.
Umati ukisubiri msafara wa Obama eneo la Buguruni jijini Dar.

No comments:

Post a Comment