Wednesday, January 4, 2012

HAMAD RASHID NA VIONGOZI WENGINE 3 WAFUKUZWA CUF



Mbunge wa Wawi (CUF), Hamad Rashid Mohamed.
Habari zilizotufikia hivi pundu ni kwamba Mbunge wa Wawi (CUF), Hamad Rashid Mohamed, na wenzake watatu akiwemo Shoka Hamis wamefukuzwa katika uongozi wa CUF.

http://www.dw-world.de/popups/popup_single_mediaplayer/0,,15644798_type_audio_struct_11591_contentId_15644519,00.html

No comments:

Post a Comment