JK APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI JANA
RAIS JAKAYA KIKWETE AKIPOKEA HATI YA UTAMBULSIHO TOKA KWA BALOZI WA DENMARK NCHINI, MH. JOHNNY FLENTO.
RAIS JAKAYA KIKWETE AKIPOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA BALOZI WA BURUNDI, MH. ISSA NTAMBUKA.
RAIS JAKAYA KIKWETE AKIPOKEA HATI TOKA KWA BALOZI WA UMOJA WA ULAYA, MH. FILIBERTO CERIANI
SEBREGONDI.
RAIS JAKAYA KIKWETE BAADA YA KUPOKEA HATI YA UTAMBULISHO TOKA KWA BALOZI WA MALAWI, MH. FLOSSIE ASEKANAO GOMILA-CHIDYAONGA (KULIA).
RAIS JAKAYA KIKWETE AKIAGANA NA BALOZI WA UTURUKI, MH. ALI DAVUTOGLU BAADA YA KUPOKEA HATI ZAKE ZA UTAMBULISHO LEO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.
No comments:
Post a Comment