Tofauti na miaka ya nyuma kuona master kuwa na familia ilikuwa ni jambo la ajabu sana wanakaribia kuzeeka au kufariki na huku wakiondoka na kukosa kuwa na familia kutokana na muda wao mwengi hujushulisha na shuhuli zao za kimaisha lakini sasa imekuwa kinyume kila ster sasa anataka kuwa na watoto tena wengi ili kuwa na familia bora
No comments:
Post a Comment