Thursday, January 5, 2012

UNYANYASAJI WA WATOTO



Kama ulisikiliza hekaheka juu ya watoto
wanaofanyishwa kazi huko kinondoni video yake ndio hii hapa.Mtoto mwenye miaka
13 ndio huyo mwenye fungus mikono yote jamani mtoto anaumwa hivyo bado anafanya
kazi za nyumbani kufua,kupika kuchota maji.Hivi huyo mtoto
anakufuliaje?anakupikiaje?khaaaaaaaaaaaaaa!binadamu wengine
wakoje?Huyo mwingine ana
miaka 15 anahudumia baa ya bosi wake huyo mtoto atakuhudumia nini jamani.Mbona
hatuna UTU?!!!
Jitihada zimefanyika huyo mgonjwa
atibiwe na wote warudishwe kwao Mtwara maana si sawa hata kama una shida ya
mfanyakazi.

No comments:

Post a Comment