Wednesday, January 4, 2012

UWEKAJI JIWE LA MSINGI SKULI YA SEKONDARI UZINI



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa Jiwe la msingi Skuli ya Sekondari ya Uzini Wilaya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,Iliyojengwa kwa ufadhili wa Benki ya Dunia,ikiwakilisha skuli nyengine saba,sambamba na maadhimisho ya sherehe za miaka 48 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar. (Picha na Ramadhan Othman IKulu).
Rais Dk Shein akizungushwa katika maeneo ya skuli hiyo ya sekondari wakati alipokuwa katika skuli hiyo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk
Ali Mohamed Shein,akizungumza na wananchi katika sherehe za uwekaji wa Jiwe la msingi Skuli ya Sekondari ya Uzini Wilaya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,Iliyojengwa kwa ufadhili wa Benki ya Dunia,ikiwakilisha skuli nyengine saba,sambamba na maadhimisho ya sherehe za miaka 48 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi wa vyama na Serikali waliohudhuria katika sherehe za uwekaji wa jiwem la msingi Skuli ya Sekondari ya Uzini Wilaya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,Iliyojengwa kwa ufadhili wa Benki ya Dunia,ikiwakilisha skuli nyengine saba,sambamba na maadhimisho ya sherehe za miaka 48 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.
Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Mpapa wilaya ya Kati,Abdalla khamis Abdalla,akisoma risala wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi skuli ya sekondari ya Uzini Mkoa wa Kusini Unguja,iliyojengwa kwa ufadhili wa Benki ya Dunia,sambamba na maadhimisho ya sherehe za miaka 48 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.
Wanafunzi wa Skuli ya Uzini Msingi wakiwa katika sherehe za uwekaji wa Jiwe la Msingi Skuli ya Sekondari ya Uzini Wilaya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,Iliyojengwa kwa ufadhili wa Benki ya Dunia,ikiwakilisha skuli nyengine saba,sambamba na maadhimisho ya sherehe za miaka 48 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.

No comments:

Post a Comment