Mwimbaji wa Jahazi Modern Taarab, Mzee Yusuf, alivyokaribishwa rasmi valentine's dinner, nyumbani kwa Missy Temeke, akishirikiana na Sophia Mmombasa, Salama Salma Jay Jay, Auntie Waheeda Margaret Gathesha, na Baadhi ya mabanati wa Wasington DC na kutunukiwa zawadi mbali mbali na wakazi wa MD kwa hisani kubwa ya kutumbuiza siku ya Jumamosi ya Feb 5, 2012 ndani ya Washington DC Nchini Marekani. Daima tutamkumbuka Mzee Yusuf Al-batwa!! …
No comments:
Post a Comment