Wednesday, March 28, 2012

Timu Madrid abamiza APOEL bao 3-0



Kama kawaida yao ushindi kwa timu ya Madrid ni lazima pale walipoingia uwanjani leo hii kwa kujihami na kucheza mpira uliotulia bila ya kuchechetuka dhidi ya APOEL mabao walifugwa na Karim Benzema mawili na moja alimalizia Kaka jumala bao 3 hadi tunakwenda ukingoni Real Madrid awabamiza Apoel bao 3-0 kwenye mchezo uliomalizika hivi punde kwenye uwanja wa GSP Stadium 

No comments:

Post a Comment