Friday, June 8, 2012

BEYONCE MWANAMKE ANAYEONGOZA KWA UZURI DUNIANI


Mwanadada mwenye sura nzuri Beyonce 
Baada ya wataalamu wa mambo ya urembo kupitia vigezo vyao wametangaza kuwa mwanadada Beyonce ndiye mrembo anayeongoza kwa uzuri duniani kwa sasa.

No comments:

Post a Comment