MWANA Hip Hop mahiri hapa nchini, Joseph Haule 'Prof J' amejiunga rasmi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Profesa Jay amejiunga na chama hicho wakati akiwa mkoani Dodoma pamoja na wasanii wengine akiwemo Judith Wambura 'Lady Jaydee' kwa mwaliko wa Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi 'Sugu'. Katika ukurasa wake wa twitter kabla ya kujiunga rasmi na chama hicho, Prof aliandika hivi:"Mmeniuliza sana kwamba mimi ni chama gani jibu litapatikana muda sio mrefu!! Still in Dodoma STAY TUNED!!!" Na baada ya kujiunga alitweet hivi sambamba na picha akiwa na Mbunge wa Jimbo la Ubungo wa cha hicho, John Mnyika pamoja na Sugu: "Prof, Jay Vua gamba, vaa Gwanda mimi Nipo Hapa now.

No comments:
Post a Comment