RAIS JAKAYA KIKWETE AWAANDALIA MABALOZI TAFRIJA YA MWAKA MPYA - SHERRY PARTY, IKULU
Rais Jakaya Kikwete akiongea na mabalozi aliowakaribisha katika tafrija ya mwaka mpya - Sherry Party - Ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.
Rais Jakaya Kikwete katika picha ya pamoja na mabalozi kwenye tafrija ya mwaka mpya - Sherry Party - Ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.
No comments:
Post a Comment