Thursday, January 19, 2012

Mahakama Kuu nchini Tanzania imetoa muda zaidi


 

Mahakama Kuu nchini Tanzania imetoa muda zaidi kwa chama cha upinzani nchini Tanzania, CUF, kuzipitia hoja za waliowafukuza kutoka chama chao, akiwemo Mbunge wa Wawi, kisiwani Pemba, Hamad Rashid.

 
Shauri hili lilipangwa kusikilizwa leo, na sasa linatarajiwa kusikilizwa Machi 17. Hamad Rashid, kama mtuhumu, alikuwepo mahakamani  na nilizungumza nae baada ya Jaji Agostino Shango wa mahakama hiyo kuliahirisha shauri hilo.

No comments:

Post a Comment