Thursday, January 19, 2012

Zanzibar: Ripoti ya Meli ya MV Spice Islander


 

Katibu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dk. Abdula Hamid Yahya Mzee ameiweka hadharani ripoti ya ajali ya meli ya mv Spice Islander iliyotokea Septemba mwaka jana na kusababisha vifo vya idadi kubwa ya watu.

 
Ripoti hii imetaja uzembe kama chanzo cha ajali, idadi kamili ya wailokuwemo katika meli na walikufa,  mapendekezo ya hatua za kuchukuliwa dhidi ya wahusika na fidia kwa waliothiriwa.
Kutoka huko Zanzibar Sudi Mnette amezungumza na mwandishi Issa Yusuf na kwanza nilitaka ufafanuzi wa chanzo cha ajali hiyo.

No comments:

Post a Comment