Wednesday, December 21, 2011

Dk Shein ziarani Pemba


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na wananchi na walimu wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi chuo cha ualimu cha Benjamin Mkapa huko Mchanga mdogo Pemba samaba na uwekaji wa mawe ya msingi Skuli za Sekndai za Wilaya za Pemba. (PICHA NA RAMADHAN OTHMAN WA IKULU)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiweka jiwe la msingi chuo cha ualimu cha Benjamin Mkapa huko Mchanga mdogo Pemba samaba na uwekaji wa mawe ya msingi Skuli za Sekndai za Wilaya za Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiangalia ramani ya ujenzi wa chuo cha ualimu Benjamin wilium mkapa,na kupata malezo kutoka kwa mkandarasi wa kampuni ya Quality BuilldingContractar LTD Kamis Saidi Ali (Shaibu) mara baada ya kuweka jiwe la msingi chuo cha ualimu cha Benjamin Mkapa huko Mchanga mdogo Pemba samaba na uwekaji wa mawe ya msingi Skuli za Sekndai za Wilaya za Pemba.

No comments:

Post a Comment