Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, akimtambulisha mwanae wa kiume (jina halikupat
ikana) kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika sherehe za kumwapisha Rais huyo Mjini Kinshasa Desemba jana 20, 2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na mke wa Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Olive katika shere za kumwapisha Rais hiyo Mjini Kinshasa
No comments:
Post a Comment