Tuesday, December 27, 2011

Wakazi wa Jangwani Dar es Salaam

Wakazi wa Jangwani Dar es Salaam walioathiriwa na mafuriko wakisafisha vyombo vyao kwa kutumia maji yasiyo salama pembezoni mwa makazi yao baada ya kurejea na kuendelea na maisha yao kama kawaida jana. (Picha na Fadhili Akida).

No comments:

Post a Comment